UPATIKANAJI WA MAENEO YA UCHIMBAJI WA GESI.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza kasi katika utafiti wa upatikanaji wa maeneo mapya ya uchimbaji wa visima vipya vya gesi asilia ili kuongeza upatikanaji wa gesi kwa matumi...
NDEJEMBI: BOMBA LA GESI NTORYA–MADIMBA LIKAMILIKE IFIKAPO SEPTEMBA 2026
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kumsimamia kikamilifu Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asilia kutoka eneo la ugunduzi la Ntorya hadi Kiwanda ch...
KASI YA MRADI WA EACOP YAPONGEZWA NA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI
Watumishi kutoka Wizara ya Nishati wamepongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ambao umefikia asilimia 81 huku ukifungua fursa nyingi kwa wananchi ikiwemo upatikanaji wa ajira na ujuzi..Akizungumza Fe...
WAZIRI NDEJEMBI AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali, leo tarehe 27 Februari 2026.Katika zi...
MHE. NDEJEMBI AITAKA PURA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA KUSHIRIKI MRADI WA LNG
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha mipango yake katika ukusanyaji wa data sahihi, tathmini ya vitalu vya utafiti, na maandalizi ya Watanzania kushiriki kikamilifu katik...
DKT. MATARAGIO: PURA ONGEZENI KASI UTAFITI WA MAENEO MAPYA YA MAFUTA NA GESI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuongeza kasi ya utafiti wa awali katika maeneo mapya ya mafuta na gesi asilia ili kuvutia wawekez...
SADC Yavutiwa na Mikakati ya Tanzania katika Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika – SADC) imeeleza kuvutiwa na mikakati ya Tanzania katika kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, hususan hatua ya kuondoa kodi na kutoa ruzuku kwa vifaa kama mitungi ya gesi na majiko banifu, pamoja na...
WAJASIRIAMALI NA BODABODA WAFIKIWA NA ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MOROGORO
Wajasiriamali na bodaboda katika Soko Kuu la Kingalu, Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu na maeneo ya Kihonda mkoani Morogoro wamepatiwa elimu ya nishati safi ya kupikia kupitia kampeni inayoendelea nchini yenye lengo la kuhamasisha mabadiliko ya tabia kuel...
NDEJEMBI: UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI TANZANIA UMEONGEZEKA MARA TATU NDANI YA MIAKA MINNE
UPATIKANAJI wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 23.2 mwaka 2025, sawa na ongezeko la zaidi ya mara tatu ndani ya kipindi cha miaka minne.Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, ames...
REA YAANZA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU 6,692 KATIKA MKOA WA SINGIDA
Wakala wa Nishati Vijijini imeanza utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia ili kufikia lengo la zaidi ya asilimia themanini 80% ya watanzania ifikapo mwaka 2034 wawe wanatumia nishati safi ya kupikia nishati ambayo ni sala...
Watumishi Wapongeza Utekelezaji wa Mradi wa EACOP Kwa Kuzingatia Uhifadhi wa Mazingira
Watumishi wa Wizara ya Nishati wameipongeza Serikali kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). wakieleza kuwa katika hatua zote za utekelezaji, mradi umezingatia kwa kina masuala ya uhifadhi wa...
Watumishi Wapongeza Utekelezaji wa Mradi wa EACOP Kwa Kuzingatia Uhifadhi wa Mazingira
Watumishi wa Wizara ya Nishati wameipongeza Serikali kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). wakieleza kuwa katika hatua zote za utekelezaji, mradi umezingatia kwa kina masuala ya uhifadhi wa...
TANESCO NA REA; WANANCHI WANAOLIPIA UMEME WAUNGANISHWE KWA WAKATI- MHE. SALOME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha kuwa wateja wote wanaolipia huduma ya umeme wanaunganishwa kwa wakati ili kuwawezesha kuutumia kwa shug...
TANZANIA YAANDIKA HISTORIA MPYA: MRADI WA UMEME JUA KISHAPU WAKAMILIKA
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua ulioko Kishapu, mkoani Shinyanga mradi ambao ni mkubwa na wa kwanza wa aina yake nchini.Akizungumza Februari 21, 20...
MRADI WA KUFUNGA MIFUMO YA UMEME JUA MAENEO YA VISIWANI KWA BEI YA RUZUKU WAZINDULIWA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amezindua mradi wa kusambaza mifumo ya umeme jua visiwani unaolenga kuweka mifumo 20,000 ya umeme jua katika visiwa 120 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8 ambapo Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka ruzuku...
MHE SALOME; TPDC FANYIENI KAZI MAELEKEZO YA VIONGOZI WAKUU KUKAMILISHA MIRADI YA KIMKAKATI
Watendaji katika Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wametakiwa kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Kitaifa yanayolenga kuendeleza sekta ya mafuta na gesi asilia, ikiwemo agizo la kuhakikisha mazungumzo ya Mradi wa Kucha...
KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAIPONGEZA TANESCO KWA MATOKEO CHANYA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya Ziara yake leo kwa kutembelea miradi ya umeme na imeipongeza Serikali ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, uongozi na wafanyakazi wa TANESCO kwa kazi na hali ya uzalishaji wa umeme, ambapo sasa nchi ina...
KAMPENI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAWAFIKIA WANANCHI WA MIKESE MOROGORO
Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia imeendelea kuwafikia wananchi katika soko la Mahindi na vijiwe vya bodaboda waliopo Mikese Morogoro lengo likiwa ni kuhakikisha watu wanaachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia kama vile kuni n...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA NCHINI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Serikali kwa kazi kubwa inayofanyika katika kuhakikisha mafuta nchini yanapatikana kwa wakati, kwa uwazi na kwa kuzingatia viwango stahiki.Ametoa pongezi hizo tarehe 1...
DKT. MATARAGIO AZUNGUMZA NA NBC DODOMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, amefanya kikao na uongozi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo tarehe 19 Februari 2026 jijini Dodoma.Kikao hicho kililenga kujadili namna ambavyo Wizara...